Matukio




HONGERA DJ MUDY


Dj Mudy akifungishwa ndoa maeneo ya Sakina kibanda maziwa siku ya ijumaa,Dj Mudy ambaye jina lake kamili ni Mohamedi Hamis amemuoa  Mwanaisha Suleiman ambaye hufanya kipindi cha mishemishe hapa radio 5.


Dj Muddy akiwa  na wapambe wake Semio Sonyo na Shaban.


Bi.Mwanaisha Suleiman na Mohamed Hamis wakati wa kufungishwa ndoa yao ijumaa ya tarehe 10/02/2012

Mudy na Mwanaisha wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa ijumaa sakina kibanda maziwa....
Uongozi na wafanyakzi wa Radio 5 unawatakia maisha mema na mafanikio katika ndoa yenu.




G.M wa radio5 akibadilishana mawazo na Barnaba


G.M wa radio 5 akiwa na meneja wa vipindi radio5.

Fredrick kefas a.k.a the director ,system admin wa radio5 akiwa na lina ndani ya snow crest.
Linah katikati akiwa na barnaba  wakishirikiana na watoto wa tembo chini ya ndanda kosovo( kichaa) wakilishambulia jukwaa

Linah sanga a.k.a linah baada ya kuwa lonenely na kuyakimbia mapenz sasa angalau  anafuraha.
GOODMORNING TANZANIA"walikuwepo mjengoni na hapa David rwenyagira akicheza style za viongoz.

Hii ndio Africa Ngoma....Ernest matundiro akiwa na H.R au Janvier Jancouver wakicheza kiafrika zaidi'



''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
Meneja wa Radio 5,Jimmy Mtemi akiwa na Davi Rwenyagira ,Mohamed Hamis wakisalimiana na naibu waziri Mh.Goodluck Ole Medeye

 Mh.Sofia Simba akisalimiana na wafnyakzi wa Radio 5,kutoka kushoto ni Mohamedi Hamisi,Jimmy Mtemi ambaye ni meneja wa Radio,David Rwenyagira na Monica Nangu.
Wafanyakazi wa Radio 5 wakiongozwa na mkurugenzi wa Radio 5 Mr Robert wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa bunge Mh.Anne Makinda.


................................................................................................................................................................