Hajji Ramadhani akitoa neno kwa niaba ya Radio 5 walipotembelea kituo hicho.
Philip Magese akiwa na mtoto aliyejulikana kama Mussa,Mtoto huyu aliokotwa akiwa na miezi 3 na sasa an miaka mitano.
Meneja miradi,bi.Pili akiwa na watangazaji Semio Sonyo na Ashura wakati walipotembelea kituo hicho.
Wafanyakazi wa Radio 5 wakikabidhi msaada wa vyakula kwa mlezi wa kituo hicho,anayekabidhi ni afisa masoko bi.Sarah Lazaro.
No comments:
Post a Comment