Wananchi wa kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni, wakishangilia
wakati wa mkutano wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo jana.
Mgombea ubunbge wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiwaalimia wakati wa kijiji cha Shambarai Kata ya mbuguni jana.
Pamela Sioi akimuombea kura mumewe, mgombea ubunge wa CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye kampeni zilizofanyika kijiji cha Shambarai kata ya Mbuguni jimboni humo jana.
Mama Sioi(wapili kulia) akishiriki kuselebuka muziki wa hamasa za Chama, uliporomoshwa katika kijiji cha Msitu wa Mbogo kata ya Mbuguni kabla ya kuanza kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo jana.

No comments:
Post a Comment