Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum Regia mtema ukiingizwa viwanja vya karimjee leo.
Waombolezaji wakiangalia mwili wa Regia ulipokuwa ukiingizwa katika eneo maalumu kwa ajili ya kuagwa leo. Marehemu amesafirishwa leo kwenda morogoro na kesho utazikwa kwao huko ifakara...Sikiliza Radio 5 na ueendelee kutembelea na blog yetu kwa taarifa zaid.
Baadhi ya viongozi wa kiserikali wakiongozwa na makamu wa rais ,wakiwa katika shughuli ya kuaga mwili wa Regia Mtema.
Waombolezaji wakipita mbele ya mwili wa marehemu Regia mtema..


No comments:
Post a Comment