Viongozi wa vyama na serikali wakiongozwa na rais Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa mbunge wa viti maalum Regia Mtema.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Regia Mtema.Mbunge huyo aliyefariki wiki iliyopita kwa ajali ya gari,alizikwa jana kijijini kwao huko ifakara.Mungu ailaze roho ya maremu mahali pema peponi.
No comments:
Post a Comment