Sunday, January 22, 2012

MACHOZI,JASHO NA DAMU

Arsenal wanawaalika  Manchester United leo katika  uwanja wa Emirates...Man u wanataka kuendeleza ubabe baada ya kichapo cha 8-2 walichokitoa kwa Arsenal mwezi August wakati Arsenal wanataka kulipa kisasi.Tusubiri tuone kuanzia  saa1;00 za Afrika Mashariki.....Ni machozi, Jasho na Damu

No comments: