Monday, January 23, 2012

CHADEMA WAKUTANA NA RAIS TENA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na katibu mkuu wa Chadema Dr W.Slaa wakati viongozi wa chama hicho walipotembelea ikulu kwa ajili ya kupeleka mapendekezo yao juu ya uundwaji wa katiba mpya.
Rais Kikwete akizungumza na viongozi wa Chadema katika mazungumzo yanayosemekana kuchukua masaa nane juu ya marekebisho ya sheria ya uundwaji wa katiba mpya.

No comments: