MAN CITY HOI TENA
Baada ya kichapo cha 3-2 toka kwa manchester united,Robert mancini alijikuta akipokea kichapo cha nne katika mechi nane baada ya kufungwa 1-0 na liverpool...Alikuwa ni Steven Gerald aliyewamaliza city kwa penati katika dk 13.Manchester city sasa imepoteza kombe la tatu kufuayia kutolewa kwenye klabu bingwa ulaya,FA na jana usiku carling cup....
No comments:
Post a Comment