BURIANI MZEE KIPARA
Msanii nguli wa maigizo nchini Fundi Sudi maarufu kama mzee kiparaamefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake kigogo...katika nymba aliyopangishiwa na kundi la kaole...nini thamani ya msanii hapa Tanzania?inasikitisha jaman kwa mzee kama huyu kufariki bila kuwa na chochote cha kujivunia.
No comments:
Post a Comment