MAN UNITED HOI
Baada ya kumaliza mwaka vibaya,Manchester united jana waliendeleza mkosi kwa kukubali kichapo cha bao 3-0 dhidi ya Newcastle...Pichani ni kocha wa man unnited Sir Alex Ferguson akiwa aamini kilichotokea katika uwanja wa St.James Park...The magpies wamezid kuwakaribia waliofulia wengine Liverpool kwa kufikisha pointi 33................kwa msimamo wa ligi chekli page yetu ya michezo......................
No comments:
Post a Comment