Wachezaji wa Arsenal Alexander Song na Robin van pesie wakisalimiana na nyota mpya wa timu hiyo Thiery Henry klabuni hapo.
Hii injulikana kama" the best 10 and14 "ya kwanza ilikuwa ya Denis Bergamp na Thiery Henry na ya sasa ni Robin Van Persie na Theo Walcot....Henry amesaini mkataba wa miezi miwili Arsenal (mkopo)utakaompatia paun 70000 kwa wiki....
Usajili mwingine uliokamilika
Mchezaji Anapotoka Anapokweanda
Kiko Macheda Man united Qpr (mkopo)
Jose Antony Reyes Seville A.Madrid $ 4.5M

No comments:
Post a Comment