Askari wa miguu wakitoa heshima zao mbele ya jukwaa kuu leo wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya mapinduzi ya zanzibari.
Makamu wa rais Dr.Gharib Bilal akisalimiana na rais mstaafu wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar DrAman Karume.
Rais wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar akiingia uwanja wa amaan katika sherehe za mapinduzi a zanzibar.
Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wa kwanza akiwa na marais J.Kikwete na Dr Shein katika sherehe za mapinduzi ya zanzibar katika uwanja wa Amaan leo.
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Dr Ally Mohamed Shein.




No comments:
Post a Comment