Wednesday, January 25, 2012

TASWIRA KATIKA TAIFA


Haya ni madaraja yanayo jengwa kwa kutumia mabilioni ya shilingi,lakini baada ya muda mfupi na mvua ,mambo yanabadilika na kuwa hivi, kuna haja ya serikali kuyaangali haya kwa jicho la tatu.Pichani ni mwandishi  David Rwenyagira akiwa katika moja ya madaraja hayo mkoani Arusha.

No comments: