Askari wausalama barabarani akikagua gari la aliyekuwa mbunge wa viti maalum chadema mh.Regia Estelatus Mtema jana.
Hili ndio gari lililohitimisha safari ya mbunge huyu hapa duniani....
Mh.Regia Estelatus Mtema enzi za uhai wake,Regia alifariki jana kwa ajali ya gari ilyotokea maeneo ya ruvu darajani..majira ya saa 5 asubuhi.



No comments:
Post a Comment