Saturday, January 14, 2012

TWIGA YAPETA

Twiga stars wameendeleza ubabe wao katika soka la wanawake baada ya kufunga timu ya wanawake ya Namibia 2-1 katika mchezo mkali wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Afrika.....kwa habari zaidi fuatilia vipindi vya michezohapa radio5.

No comments: