Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kweye kaburi la aliyekuwa mbunge wa Arumeru mashariki Jeremiah Solomon Sumari.
Spika wa bunge Anne Makinda akiweka shada la muda katika kaburi la mh Sumari jana kijijini kwao Akeri.
Waziri mkuu mh. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Jeremiah Sumari Jana muda mfupi kabla ya mazishi.
Picha na David Rwenyagira.



No comments:
Post a Comment