Radio 5 kwa
kushirikiana na shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na
shirika la Mkombozi kwa pamoja
tumeadhimia kusaidia watoto wanaishi katika mazingira hatarishi
Watoto
wanaounda Mtandao wa wanahabari watoto Tanzania kutoka mikoa ya Kilimanjaro na
Arusha wakiwa katika semina iliyofanyika ofisi za Radio 5 zilizoko Arusha.
Baadhi ya watoto waliohudhuria waliohudhuria kongamano hilo lilofanyika katika ofisi za radio 5
Watoto waliohudhuria mafunzo hayo wakipata kifungua kinywa.
Watoto waliohudhuria mafunzo hayo wakiwa na watangazaji wa radio mbali mbali,aliyevaa shati jeupe ni Deo kutoka Radio Sauti ya injili moshi.
No comments:
Post a Comment