AFRIKA NGOMA YAPETA
Hajji Ramadhan(aliyekaa)Ernest Matundiro na Aziza,,wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi wa shindano la kipindi bora cha mweziii......Mchakato unaendelea na mwezi huu nafasi ya Afrika ngoma kwenye kinu chetu cha kura wanaingia Love Cut pamoja na funiko base,mishemishe na Goodmorning Tanzania.....Bravoooooooo Afrika Ngoma na walioshindwa kazeni buti labda mwezi huu mnaweza kuwa vinara..
No comments:
Post a Comment