Hili ni jumba jipya la spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ambalo limegharimu shilingi bilioni 1.5.Jumba hilo limejengwa katika eneo la uzunguni njekidogo ya mji wa dodoma.
Mbunge wa Arusha mjini God bless Lema akiwa amebebwa nawafuasi wa Chama hicho alipowasili Arumeru
CHADEMA WAZINDUA KAMPENI ARUMERU
Wafuasi wa Chadema wakielekea eneo la mkutano kwa ajili ya uzinduziwa kampeni za ubunge za jimbo la Arumeru Mashariki
Msafara wa wafuasi wa chama hicho ukiongozwa na pikipiki ukielekea eneo la kampeni




No comments:
Post a Comment